Buscar
Estás en modo de exploración. debe iniciar sesión para usar MEMORY

   Inicia sesión para empezar

Somo la sita


🇬🇧  »  🇰🇪
Learn Swahili From Inglés
Creado:


Public
Creado por:
Oğuz Tarihmen


5 / 5  (1 calificaciones)



» To start learning, click login

1 / 25

🇬🇧


Where are you from?
🇰🇪


Unatoka wapi?

Practique preguntas conocidas

Manténgase al día con sus preguntas pendientes

Completa 5 preguntas para habilitar la práctica

Exámenes

Examen: pon a prueba tus habilidades

Pon a prueba tus habilidades en el modo de examen

Aprenda nuevas preguntas

Modos dinámicos

InteligenteMezcla inteligente de todos los modos
PersonalizadoUtilice la configuración para ponderar los modos dinámicos

Modo manual [beta]

Seleccione sus propios tipos de preguntas y respuestas
Modos específicos

Aprende con fichas
elección múltipleModo de elección múltiple
Expresión oralPractica tu habilidad de expresión oral
EscrituraModo de solo escritura

Somo la sita - Marcador

0 usuarios han completado este curso. ¡sé el primero!

Ningún usuario ha jugado este curso todavía, sé el primero


Somo la sita - Detalles

Niveles:

Preguntas:

75 preguntas
🇬🇧🇰🇪
Where are you from?
Unatoka wapi?
I am coming from the city of New York
Ninatoka jiji la New York.
In which street?
Katika Njia gani?
In which neighborhood?
Katika mtaa gani?
Where are you studying now?
Unasoma wapi sasa?
I am studying at the University of California Los Angeles.
Ninasoma katika Chuo Kikuu cha California Los Angeles.
What are you studying?
Masomo gani unasoma?
I am studying Swahili and linguistics.
Ninasoma Kiswahili na isimu ya lugha.
Is Bill studying Swahili now?
Je, Bill anasoma Kiswahili sasa?
Who is teaching Swahili?
Nani anafundisha Kiswahili?
Why are you studying Swahili?
Kwa nini unasoma Kiswahili?
I want to travel to Tanzania in order to make research.
Nataka kuenda Tanzania ili kufanya utafiti.
What are you teaching?
Unafundisha nini?
Who is coming from New York?
Nani anakuja kutoka New York?
Sarah is a Swahili teacher.
Sarah ni mwalimu wa Kiswahili.
She’s from Mombasa but she’s staying in the city of Los Angeles now.
Anatoka Mombasa lakini anakaa katika mji wa Los Angeles sasa.
She’s teaching Swahili here in America and studying linguistics at the University.
Anafundisha Kiswahili hapa Amerika na anasoma isimu katika Chuo Kikuu.
After getting her degree she wants to return to Kenya and to teach linguistics at the University of Nairobi.
Baada ya kupata digrii yake anataka kurudi Kenya na kufundisha isimu katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
Teacher Tom is a teacher of linguistics and he’s teaching Swahili, as well.
Mwalimu Tom ni mwalimu wa isimu na anafundisha Kiswahili, pia.
His wife is coming from the city of Michigan.
Mke wake anatoka mji wa Michigan.
Her husband and their children are staying in Los Angeles.
Mume wake na watoto wao wanakaa Los Angeles.
He’s working in the laboratory of UCLA.
Anafanya kazi katika maabara ya UCLA.
Who is coming from Mombasa?
Nani anatoka Mombasa?
Which language is Mrs. Sara teaching?
Bibi Sara anafundisha lugha gani?
Where is teacher Tom‘s wife working?
Mke wa mwalimu Tom anafanya kazi wapi?
What is the teacher’s name?
Jina la mwalimu ni nani?
Do you live in Dar es Salaam?
Je, unaishi Dar es Salaam?
We want to study Swahili.
Tunataka kusoma Kiswahili.
They are studying Swahili.
Wanasoma Kiswahili.
I want to study Swahili.
Nataka kusoma kiswahili.
The old men are teaching.
Wazee wanafundisha.
I want to get a Swahili course.
Nataka kupata kozi ya Kiswahili.
African studies
Masomo ya Kiafrika
Architecture
Usanifu majengo
Business
Biashara
Communication studies
Masomo ya mawasiliano
Developmental studies
Masomo ya maendeleo
Economics
Uchumi
Engineering
Uhandisi
Environmental science
Sayansi ya mazingira
Finance
Elimu ya fedha
Geography
Jiografia
Geology
Jiolojia
History
Historia
Law
Sheria
Library science
Sayansi ya maktaba
Management
Uongozi / manejementi
Mathematics
Hisabati / hesabu
Medicine
Udaktari / uganga
Meteorology
Meteorolojia
Music
Muziki
Pediatrics
Matiababu ya watoto
Philosophy
Falsafa
Physics
Fizikia
Plant science
Sayansi ya mimea
Political science
Sayansi ya siasa
Science
Sayansi
Social science
Sayansi ya jamii
Surgery
Upasuaji
Theatre arts
Sanaa ya maonyesho
Urban planning
Mipango miji
Women's studies
Masomo ya wanawake